Tag Archives: MAGUIRE AFUTA MAKOSA

MAGUIRE AFUTA MAKOSA

HARRY Maguire, nahodha wa Manchester United dakika ya 23 aliweza kufuta makosa ya mchezaji mwenzake Luke Show aliyejifunga dakika ya 2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Newcastle United. Dakika 90 zilikamilika kwa United kusepa na pointi tatu baada ya kushinda kwa mabao 4-1 kwenye mchezo uliochezwa Uwanja …

Read More »