Tag Archives: Magufuli

Rais Magufuli: Uchaguzi ujao wa Tanzania utakuwa huru na wa haki

Rais  Magufuli amesema Serikali imejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020 unakuwa wa amani, uhuru na haki.Amesema utakapofika uchaguzi huo, nchi na taasisi mbalimbali zitakaribishwa Tanzania kushuhudia. Ametoa kauli hiyo jana Jumanne Januari 21, 2020 alipokutana na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania katika sherehe za mwaka mpya 2020 na chakula …

Read More »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumapili Desemba 22, 2019 amejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa na ametumia nafasi hiyo kuwatakia heri ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo  Jumapili Desemba 22, 2019 amejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa …

Read More »

Rais Magufuli Atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Falsafa UDOM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amesema alitumia muda mrefu kufikiria kukubali ombi la kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutokana na Jitihada, anazofanya katika kuiletea maendeleo Tanzania pamoja na mapambano dhidi ya Rushwa, ambapo amesema alitumia mwezi mmoja kukubali ombi hilo. Rais …

Read More »