Tag Archives: magari

Jeshi La Polisi Mkoani Dodoma Lakamata Magari 17 Ya Wizi

Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma limekamata magari 17 yadhaniwayo kuwa ya wizi katika msako wa siku nne uliofanyika kati ya tarehe 19.5.2020 hadi tarehe 22.5 2020. Hayo yamesemwa  Mei 26,2020   na  kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo alisema kuwa walimkamata …

Read More »