Tag Archives: mafuruki

Bilionea wa Tanzania Ali Mufuruki Afariki Dunia

Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Infotech Investment Group ambaye aliwahi pia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania, Ali Mufuruki (60), amefariki¬† Dunia usiku wa kuamkia leo Disemba 8, 2019¬† akiwa Afrika Kusini akipatiwa matibabu. Mufuruki ni …

Read More »