Tag Archives: MAFURIKO

Mvua Yaua Watu 9 Sengerema Jijini Mwanza

Watu tisa wa familia mbili tofauti katika Kata Yanyatukala Wilayani Sengerema, mkoani Mwanza wakiwemo wanawake wanne pamoja na watoto watano ambao nyumba zao ziko kwenye mkondo wa mto wamefariki, baada ya kusombwa na maji ya mvua. Mvua hiyo iliyoanza kunyesha majira ya asubuhi, ilinyesha na kusababisha maafa kwa baadhi ya …

Read More »