Tag Archives: mafundi nguo

Serikali wilayani Kahama mkoni Shinyanga imeshauriwa kuungana na Mafundi  nguo  ili kusaidiana kuzalisha  barakao (Mask)

Serikali wilayani Kahama mkoni Shinyanga imeshauriwa kuungana na Mafundi  nguo  ili kusaidiana kuzalisha  barakao (Mask)  zitakazoweza kutumika bure kwa  makundi na wananchi wenye uhitaji katika kukabiliana na janga  la Corona Nchini. Hayo yamesemwa leo mjini Kahama na Mwenyekiti wa umoja wa washona Nguo kata ya Kagongwa  Wilayani Kahama, MANYASA JOHN …

Read More »