Tag Archives: maeneo

Serikali yazitaka halmashauri kutenga maeneo ya wawekezaji

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kuanza kupanga maeneo ya uwekezaji katika sehemu ambazo miji inakuwa kwa kasi. Dkt Mabula alisema hayo jana katika mkutano wa Mashauriano baina ya Serikali na sekta binafsi kuhusiana na changamoto za uwekezaji katika mkoa wa …

Read More »