Tag Archives: madawati

Serikali wilayani kahama yatatua chamgamoto ya madawati mashuleni

Katika kukabiliana na upungufu wa madawati katika shule ya Msingi Kangeme iliyopo halmashauri ya Ushetu, serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imeanza mkakati wa kupeleka madawati 120 katika shule hiyo ili kusaidia kukabiliana na changamoto ya madawati katika shule hiyo. Kauli hiyo imetolewa jana na Mkuu wa wilaya hiyo ANARINGI MACHA …

Read More »