Tag Archives: Macron adai Ufaransa inaiheshimu sana Uturuki

Macron adai Ufaransa inaiheshimu sana Uturuki

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, amesema,”Tunaheshimu Uturuki na tuko tayari kwa mazungumzo na Uturuki.” Emmanuel Macron alihudhuria Mkutano Mkuu wa 75 wa Umoja wa Mataifa (UN) uliofanyika kupitia ujumbe wa video kutokana na janga la corona. Akisisitiza kuwa mazungumzo yenye ufanisi yanahitajika ili kuzuia uwezekano wa mzozo katika Mashariki ya …

Read More »