Tag Archives: Ludewa

Aua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina

Kijana aliyejulikana kwa jina la Patrick Ngailo mkazi wa Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe,anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya wakwe zake (mme na mke) akiwatuhumu ni washirikina wanaomsababishia maradhi ya mara kwa mara. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema kijana huyo alitenda kosa …

Read More »