Tag Archives: LIVERPOOL NGUMU KUTETEA UBINGWA.

LIVERPOOL NGUMU KUTETEA UBINGWA.

  LEGENDI,¬†Jamie Carragher anaamini kwamba Klabu yake ya zamani ya Liverpool itapata tabu kubwa kutetea taji la ubingwa wa Ligi Kuu England bila uwepo wa beki kisiki Virgil Van Dijk. Beki huyo wa zamani wa Liverpool amesema kuwa kwa sasa Jurgen Klopp anapaswa afaye usajili mkubwa kwa kumvuta Dayot Upamecano …

Read More »