Tag Archives: Lissu

Hakimu Amtaka Tundu Lissu Afike Mahakamani

Mahakama ya Kisutu imesisitiza kuwa inamtaka Mahakamani aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi. Hata hivyo,  Lissu ameieleza Mahakama kupitia Mdhamini wake Ibrahim Ahmed  kuwa anahitaji kurejea ila bado anahofia usalama wake, kesi imeahirishwa hadi Jan 20,2020. Novemba 21, 2019 Mahakama hiyo iliwataka wadhamini wa mwanasheria mkuu …

Read More »