Tag Archives: ligi zanzibar

Ligi kuu soka Zanzibar kuanza bila mashabiki

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)   imetoa utaratibu wa  namna ya kumaliza ligi kuu soka ya Zanzibar msimu wa mwaka  2019/2020 ambapo Michezo iliyosalia italazimika kuchezwa katika kituo kimoja Cha Unguja na  viwanja vitakavyo tumika ni  viwanja viwli, kiwanja Cha Amani stadium na Mao Tse Tung. Ligi kuu soka Zanzibar …

Read More »