Tag Archives: libya

Makaburi ya wengi yagunduliwa Libya

Umoja wa Mataifa umeonesha uwepo wa hali ya kitisho nchini Libya baada ya taarifa zilizobaini uwepo wa makaburi manane ya watu wengi, katika eneo ambalo liliweza kudhibitiwa na serikali ya kitaifa kufuatia wapiganaji wa mbabe wa kivita Khalifa Haftar kuondoka katika eneo hilo. Taarifa ya mpango wa ulinzi wa amani …

Read More »