Tag Archives: Lazaro Nyalandu Ajitosa Kugombea Urais Kuoitia CHADEMA

Lazaro Nyalandu Ajitosa Kugombea Urais Kupitia CHADEMA

Lazaro Nyalandu, ametangaza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku akibainisha vipaumbele 25 atakavyovifanya ndani ya siku 100 endapo atapewa ridhaa na Watanzania. Nyalandu ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema) kanda ya Kati ametangaza nia hiyo …

Read More »