Tag Archives: LAKUSANYA KADI 20

KUNDI B FDL NOMA SANA, LAKUSANYA KADI 20

VITA ya kupanda Ligi Kuu Bara ikiwa imeanza kwa timu zinazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza, raundi ya kwanza imeweka rekodi kwa kukusanya jumla ya kadi 27 za njano kwa wachezaji huku moja ikiwa ni nyekundu. Kwenye makundi mawili yaLigi Daraja la Kwanza ambayo ni A na B yakiwa na jumla …

Read More »