Tag Archives: kutekwa

Upande wa utetezi Walalamika Kesi Ya Kutekwa Mo Dewji

Upande wa utetezi katika kesi ya kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu Mo, umeulalamikia upande wa Jamhuri kuchelewesha upelelezi na kwamba mshtakiwa anateseka mahabusu. Mshtakiwa, dereva wa teksi Mousa Twaleb, anakabiliwa na kesi ya kumteka mfanyabiashara huyo pamoja na wenzake wanne ambao bado hawajakamatwa na kufikishwa mahakamani hapo. Kesi hiyo …

Read More »