Tag Archives: kulevya

Wanne Wakamatwa Na Dawa Za Kulevya Aina Yaheroin Shinyanga

Wakazi wanne wa Manispaa ya Shinyanga wanashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Shinyanga wakiwa na dawa za kulevya aina ya Heroine Pinchi 8. Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo Aprili 20 mwaka huu na Kamanda wa Polisi Mkoani humo ACP Debora Magiligimba alisema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa Aprili 19 mwaka …

Read More »