Tag Archives: kujiuzulu

Baada ya Sumaye, Kigogo Mwingine CHADEMA Atangaza Kujiuzulu

Mratibu wa CHADEMA¬† Kanda ya Pwani, Casmir Mabina amewasilisha barua makao makuu ya chama hicho ya kujiuzulu nafasi hiyo kutokana na yaliyotokea kwenye uchaguzi wa kanda hiyo ambayo yamemfanya aliyekuwa mgombea uenyekiti, Fredreck Sumaye atangaze kukihama chama hicho. Mabina ameeleza uamuzi wake huo leo Jumatano Desemba 4, 2019 katika mkutano …

Read More »