Tag Archives: korosho

Kilo milioni 52 za korosho ghafi zauzwa katika minada.

Dodoma.¬†Jumla ya kilo 52,748,740 za korosho ghafi zenye thamani Sh136.76 bilioni¬† zimeuzwa katika mnada ya korosho nchini. Akizungumza leo Jumapili Novemba 16 2019 Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amesema kiasi hicho tangu minada hiyo ilipoanza Oktoba 31 2019. Amesema jumla ya makampuni ya ununuzi yaliyosajiliwa hadi kufikia Novemba 10 mwaka …

Read More »