Tag Archives: kOREA

Kim Jong-un, aongoza kikao cha nyuklia mjini Pyongyang

Kikao cha kupima  uwezo wa kijeshi na silaha za nyuklia za Korea Kaskazini, kilifanyika Jumapili ya jana kwa kuhudhuriwa na Kim Jong-un, Kiongozi wa nchi hiyo mjini Pyongyang. Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimeripoti kwamba katika kikao hicho kulijadiliwa mwenendo wa kuimarishwa uwezo wa jeshi la nchi hiyo dhidi …

Read More »

Korea Kaskazini yarusha makombora matatu katika Bahari ya Mashariki

Korea Kaskazini imerusha makombora matatu yasiyojulikana kwenye bahari ya mashariki, wiki moja baada ya kurusha makombora mawili ya masafa mafupi katika bahari hiyo. Baraza la wanadhimu wakuu la jeshi la Korea Kusini limetoa taarifa fupi ikisema, makombora yalirushwa upande wa kaskazini mashariki kutoka maeneo yaliyoko karibu wilaya ya Sondok mkoani …

Read More »