Tag Archives: kokoto

Waponda kokoto kahama waiomba serikali kutowahamisha

KAHAMA Waponda kokoto wa mlima wa Noremko  wa mtaa wa shunu katika halmashauri ya kahama mji mkaoni shinyanga wameiomba serikali ya mtaa wa shunu wasiwaondoe katika eneo hilo na waendelee na shughuli za kuponda  kokoto ili waweze kujikumwamua kiuchumi. Haya yamesemwa  na baadhi waponda kokoto wakati   wakizungumza na kahama fm …

Read More »