Staa wa muziki nchini Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, amesema kuwa atachangia ‘kodi ya pango’ kwa kaya 500 nchini kwa ajili ya kupunguza makali ya kiuchumi kwa Watanzania katika kipindi hiki cha janga la corona Leo katika mahojiano na wasafi FM amesema kuwa ameguswa na hali ya sasa na …
Read More »Tag Archives: kodi
TRA Yakabidhi Vyeti Vya Utambulisho Wa Mlipa Kodi Wilayani Kibiti Mkoa Wa Pwani
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara kujisajili na kupata namba ya utambulisho wa Mlipakodi (TIN) kwa kuwa inatolewa bure bila malipo yoyote. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya wiki ya elimu kwa Mlipakodi inayoendelea wilayani Kibiti katika mkoa wa Pwani, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi Richard Kayombo amesema …
Read More »Serikali Yapiga Hatua Kubwa Urejeshwaji Wa Kodi Ya Ongezekola Thamani
Serikali imefanikiwa kuwarejeshea wafanyabiashara na wawekezaji Kodi ya Ongezeko la Thamani-VAT baada ya uhakiki wa madai yao kwa lengo la kuimarisha kipato cha mtu mmoja mmoja na uwekezaji nchini. Hayo yamesemwa bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, wakati akijibu swali la nyongeza …
Read More »