Tag Archives: KOCHA SIMBA HANA CHAGUO LA KWANZA

KOCHA SIMBA HANA CHAGUO LA KWANZA

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amewachambua washambuliaji wake wote, huku akidai kuwa bado hana chaguo la kwanza na kudai kwamba atawatumia kulingana na michezo husika. Simba kwa sasa ina washambuliaji wa kati wanne ambao ni Meddie Kagere, John Bocco, Chris Mugalu na Charles Ilanfya ambao kwa pamoja wameifungia …

Read More »