Tag Archives: KLOPP HAELEWI CHA KUFANYA KUHUSU NAFASI YA ULINZI

KLOPP HAELEWI CHA KUFANYA KUHUSU NAFASI YA ULINZI

JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool kwa sasa yupo kwenye wakati mgumu kuhusu uimara wa safu yake ya ulinzi baada ya beki wake mwingine Fabinho Tavares kuumia kwenye kipindi cha kwanza wakati wakipambana na Midtylland usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Anfield. Raia huyo wa Brazili alikuwa anaziba nafasi iliyokuwa …

Read More »