Tag Archives: Kiwanda

Kiwanda cha Ushonaji cha wana mama wa Ki-Badhi Chazinduliwa Isaka Kahama,Jumuiya ya Kiislamu ya Istiquaama yashusha neema.

Wanawake mafundi Cherehani katika mji wa Isaka Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameishukuru jumuiya ya Internatioanl istiqumaa Muslim Community¬† ya nchini Oman kwa kuwapa msaada ya Vyerehani hali itakayowafanya waondokane¬† kushona kwa kutumia Vyerehani vya kukodi. Wakiongea mara baada ya kukabidhiwa vyerehani hivyo wanawake hao wamesema kuwa walikuwa hawana uwezo wa …

Read More »