Tag Archives: kisutu

Mashinji afika Mahakamani, Mdee amgomea kumpa mkono

Siku chache baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk.Vincent Mashinji kuhamia CCM, leo Februari 24, amekutana na viongozi wa CHADEMA katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa ajili ya kesi yao ya uchochezi inayowakabili mahakamani hapo. Mashinji alifika mahakamani hapo kisha akaanza kusalimiana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA ambao wapo …

Read More »

Mazungumzo kati ya DPP na Kigogo TAKUKURU Yakwama

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, Kulthum Mansoor amedai wameshindwa kufikia muafaka wa makubaliano baina yake na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP). Wakili wa utetezi Elia Mwingira, alitoa madai hayo jana kwamba awali walimwandikia DPP barua ya kuomba kukiri …

Read More »