Tag Archives: Kiongozi wa Al-Qaeda Abu Muhsin al-Masri auawa Afghanistan

Kiongozi wa Al-Qaeda Abu Muhsin al-Masri auawa Afghanistan

Vikosi maalum vya Afghanistan vimemuua kiongozi muhimu wa kundi la Al-Qaeda ambaye pia alikuwa akitafutwa na Marekani, idara ya ujasusi ya Afghanistan imesema. Abu Muhsin al-Masri, Mmisri aliyechukuliwa kama kiongozi nambari mbili wa kundi la Al-Qaeda mwenye ushawishi zaidi katika kundi hilo katika kanda hiyo ya India, aliuawa katika mkoa …

Read More »