Tag Archives: Kinana

Hatimaye Kinana amuomba msamaha Rais Magufuli.

Baada ya kimya cha muda mrefu hatimaye katibu mkuu mstaafu wa chama cha mapinduzi Comrade Abdulrahaman Kinana amejitokeza hadharani na kumuomba radhi Mwenyekiti wa Chama ChaMapinduzi taifa Dkt. John Pombe Magufuli kwa matukio mbalimbali yaliyojitokeza baada ya kung’atuka katika uongozi chama hicho. Kinana pia amewaomba radhi Watanzania na wanachama wa …

Read More »