Tag Archives: kim jong un

Kim Jong Un aagiza shule na vyuo kufunguliwa

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameagiza shule na vyuo kufunguliwa nchini humo na kusema hakuna haja ya wanafunzi kukosa masomo kwasababu ya ugonjwa ambao haujulikani utaondoka lini Duniani, tayari wanafunzi wameanza kurejea darasani lakini bado tahadhari za kujikinga zinaendelea kuchukuliwa. Mpaka sasa Korea Kaskazini haijaripoti hata mgonjwa mmoja …

Read More »