Tag Archives: Kilimo cha bangi cha halalishwa nchini Rwanda

Kilimo cha bangi cha halalishwa nchini Rwanda

Rwanda yahalalisha kilimo cha bangi Serikali wa Rwanda imehalalisha kilimo cha bangi kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi ikiwa ni njia ya kuongeza mapato ya serikali. Uamuzi huo ulipitishwa Oktoba 12 mwaka huu katika kikao cha baraza la mawaziri kilichoongozwa na Rais Paul Kagame. Waziri wa afya wa Rwanda, …

Read More »