Tag Archives: kilimo

Mifumo Ya Fedha Kwa Njia Ya Kielektroniki Ni Muarobaini Wa Rushwa.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania kutambua umuhimu wa mifumo ya fedha iliyoanzishwa na Serikali kwa lengo la kupunguza vitendo vya rushwa na kuweka mazingira mazuri ya utawala bora. Waziri Bashungwa amesema hayo alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika maonesho ya Nanenane yanayoendelea …

Read More »

Waziri Wa Kilimo: Tunataka Mbegu Zote Zizalishwe Nchini

Serikali imeeleza kuwa imekusudia kuanzisha juhudi wezeshi kuhakikisha kuwa mbegu bora za kilimo zinazalishwa nchini ili kuondokana na wimbi la uagizaji wa mbegu nje ya nchi. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo tarehe 22 Disemba 2019 mara baada ya kutembelea kampuni ya Namburi inayojihusisha na uzalishaji wa …

Read More »

Waziri Wa Kilimo : Serikali Haitopanga Bei Elekezi Kwenye Mazao

Serikali imesema kuwa haitopanga bei elekezi kwenye mazao mbalimbali ya kilimo kuanzia msimu ujao wa kilimo wa mwaka 2019/2020 badala yake itaacha soko liamue. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo tarehe 11 Disemba 2019 wakati akizungumza kwenye kikao kazi kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi za Mkuu wa …

Read More »

Halmashauri ya mji wa Kahama imetoa ruzuku ya pembejeo zenye thamani ya Shilingi Milioni 17.9 kwa wakulima wenye uwezo wa kulima zaidi ya Hekari 5.

Jumla ya wakulima 39  wenye uwezo wa kulima zaidi ya hekari tano kutoka kata 10 za halmashauri ya mji wa Kahama  mkoani Shinyanga wamenufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo zenye thamani ya shilingi milion 17.9  katika msumu huu wa kilimo. Hii ni Mara ya pili kwa  halmashauri hiyo kuwawezesha wakulima …

Read More »

Serikali Yatoa Kauli Mahindi Kupanda Bei

Serikali imesema licha ya bei ya mahindi kuwa juu, haitaingilia kupunguza bei kwani ni nafasi ya wakulima kupata bei wanayotaka. Naibu Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe ametangaza msimamo huo bungeni leo Jumatatu Novemba 11, 2019 wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Busega (CCM), Dk Rafael Chegeni. …

Read More »