Tag Archives: kilimanjaro

Askari anayetuhumiwa kumpa ujauzito mtoto wa darasa la saba asakwa

Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamtafuta askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani anayetuhumiwa kumpa ujauzito mtoto wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 ambaye inasemekana ni mtoto wa polisi mwenzake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Salum Hamduni (pichani) amethibitisha kuwa polisi mkoani humo wanaendelea na jitihada za …

Read More »