Tag Archives: Kikwete Amnadi Rais Magufuli…..” Mpeni Mitano Mingine Magufuli Aongoze Nchi Yetu”

Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 kwa kuwa chama hicho tawala kina sera nzuri na kinazitekeleza. Kikwete ametoa kauli hiyo jana Jumamosi Oktoba 17, 2020 Mbagala jijini Dar es Salaam wakati akimuombea kura mgombea urais kupitia CCM, …

Read More »