Tag Archives: Kijana amtoa babu yake Ubongo

Kijana amtoa babu yake Ubongo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Imani Mbilinyi (25) mkazi wa kijiji cha Maleutsi, Wilaya ya Makete Mkoani Njombe kwa tuhuma za mauaji akituhumiwa kumpasua kichwa babu yake aitwaye Elia Mbilinyi (90) na kisha kuutoa ubongo wake karibu na nyumbani kwao. Tukio hilo la kikatili limetokea usiku wa kuamkia …

Read More »