Tag Archives: Kigwangala

Alichokisema Kigwangalla Baada Ya Rais Kumpa Siku 5

Baada ya Rais John Magufuli kuagiza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Adolf Mkenda kumaliza tofauti zao vinginevyo atawaondoa, Kigwangalla ameibuka na kudai kuwa tayari walishamaliza tofauti zao na sasa hali ni shwari. Kupitia akaunti yake ya Twitter na Instagram …

Read More »