Tag Archives: kigoma

Watuhumiwa 33 mbaroni waliofanya mauji ya familia moja

Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 33 waliohusika kwa namna moja au njingine katika kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara Petro Sagalika yaliyotokea siku ya tarehe 02, Januari mwaka huu katika kijiji cha Msambala wilayani Kasulu Mkoani Kigoma. Aidha Kamishna CP Sabas amesema Mzee Perto Sagalika alikuwa Mfanyabiashara wilayani Kasulu aliekuwa …

Read More »