Tag Archives: KHERI JAMES

CCM yawatoa hofu wakulima wa Mbaazi Manyara.

Na Mwandishi wetu, Manyara MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri James ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amewataka wakulima wa mbaazi Mkoani Manyara kuondoa hofu ya bei ndogo ya zao hilo kwani Serikali ya awamu ya tano ipo mbioni kurekebisha …

Read More »