Tag Archives: Kesi ya uhujumu uchumi ya ‘Mr Kuku’ yaahirishwa

Kesi ya uhujumu uchumi ya ‘Mr Kuku’ yaahirishwa

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mfanyabiashara maarufu, Tariq Machibya(29) maarufu Mr. Kuku, imeahirishwa hadi Novemba 16, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kutokana na upelelezi kutokamilika. Wakili wa serikali Mwandamizi, Wankyo Simon, ameileza Mahakama kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamailika. Katika hati ya mashtaka mshtakiwa anakabiliwa na …

Read More »