Tag Archives: Kenyatta arefusha muda wa marufuku ya kutembea usiku

Kenyatta arefusha muda wa marufuku ya kutembea usiku

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amerefusha muda kutotembea usiku nchini humo hadi Januari 3, kama sehemu ya hatua za kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona, baada ya idadi ya maambukizi kuongezeka mwezi Oktoba. Kenyatta amesema mwezi huo pekee wa Oktoba, idadi ya maambukizi mapya ilipanda kwa 15,000, na taifa hilo …

Read More »