Tag Archives: kenya

Mahakama moja nchini Kenya katika kaunti ya Nakuru imeamuru mtoto wa miaka 11 anayeshikiliwa kwa tuhuma za kumuua kaka yake arejeshwe katika mahabusu ya watoto mpaka pale upelelezi wa kesi yake utakapokamilika. Uamuzi huo umetolewa na hakimu mkazi Bernard Mararo baada ya mtoto huyu kukamatwa na polisi. Kwa mujibu wa …

Read More »

Walimu watatu wauawa katika shambulio la kigaidi Kenya

Walimu watatu ambao si wa eneo hilo walipigwa risasi hadi kufa huku kituo cha polisi kikichomwa moto na mfumo wa mawasiliano kuharibiwa katika eneo la Kamuthe mapema leo asubihi. Washambuliaji hao pia wameharibu mawasiliano kabla ya kutoroka. Walimu watatu ambao si wa eneo hilo walipigwa risasi hadi kufa huku kituo …

Read More »

Shambulio la Al-shabab lilivyoathiri usalama eneo la Lamu

Jeshi la jeshi la Kenya, KDF limethibitisha wanajeshi watatu wa Marekani na wajenzi wawili wa ulinzi wameuawa katika shambulio la siku ya Jumapili katika eneo la Manda bay. Jeshi la Kenya limethibitisha vifo hivyo na kusema kuwa Wamarekani wengine wawili wafanyikazi wa kitengo cha ulinzi katika jeshi la Marekani walijeruhiwa …

Read More »