Tag Archives: Kauli ya Majaliwa baada ya kuteuliwa tena kuwa waziri mkuu

Kauli ya Majaliwa baada ya kuteuliwa tena kuwa waziri mkuu

Waziri Mkuu mteulu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema kupendekezwa kwake kwa mara nyingine tena kuwa Waziri mkuu wa Tanzania na Rais John Pombe Magufuli si jambo dogo huku akimshukuru kwa kumpendekeza kwa mara nyingine tena. Akizungumza mara baada ya kupendekezwa na kuidhinishwa na wabunge wa bunge …

Read More »