Tag Archives: kauli

Kauli Ya Humphrey Polepole Baada Ya Sumaye Kung’oka CHADEMA

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amemwambia Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye kuwa alimueleza asingeweza kupata kazi ya kushauri chama chochote cha siasa kama angekuwa nje ya Chama Cha Mapinduzi. Polepole ametoa kauli hiyo saa chache baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye kutangaza …

Read More »