Tag Archives: katibuu

Katibu wa CHADEMA Tarime atimkia CCM

SIKU Chache¬† baada ya mwenyekiti wa Chama cha Demokorasia na maendeleo Chadema aliyekuwepo,Mwita Jodeph kuhama chama chake na kujiunga na Chama cha mapinduzi CCM katibu wake leo amejiengua¬† na kufuata Nyayo zake ambapo amekihama Chama cha Chadema na amejiunga na Chama cha mapinduzi. Wengine walihama na kujiunga na Chama cha …

Read More »