Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (WMTH), Dkt. Zainab Chaula ameratibu mpango mkakati wa pamoja wa kuipeleka jamii ya kitanzania katika mfumo wa dijitali kwa kuanza na Sekta ya Elimu na Sekta ya Afya ambazo zinaigusa jamii moja kwa moja. Dkt Chaula ameendesha kikao cha kamati …
Read More »