Tag Archives: katanga

Mbabe wa zamani wa kivita DRC Germain Katanga aachiwa huru

Kiongozi wa zamani wa kundi la waasi katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Germain Katanga, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 12 katika mahakama ya kimataifa ICC, amechiliwa huru. Hatua hii ya kumwacha huru Germain Katanga inakuja siku moja baada ya kuachwa huru kwa kiongozi mwingine wa waasi wa …

Read More »