Tag Archives: KASHUWASA

Katika jitihada za kuunga mkono Serikali katika mapambano dhindi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona Mamlaka ya Maji Kahama na Shinyanga (KASHUWASA) imekabidhi vifaa vya kunawia mikono kwa Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Anamringi Macha ili viweze kusaidia katika mapambano ya dhidi …

Read More »