Tag Archives: Kanyasu

Naibu Waziri Mhe.kanyasu Azungumza Na Wanunuzi Wakubwa Wa Malighafi Kutoka Shamba La Miti Sao Hill

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu amekutana na kufanya mazungumzo  Wanunuzi Wakubwa wenye viwanda  wanaonunua  malighafi inayozalishwa kutoka katika Shamba la Miti Sao Hill lililopo katika wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Akizungumza  jana mkoani Iringa  kwa nyakati tofauti na Uongozi wa Wamiliki wa Viwanda hivyo, Mhe.Kanyasu amesema   lengo …

Read More »