Tag Archives: Kaimu Kamishna wa mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania awaasa watumishi kuongeza juhudi katika kukusanya mapato ya Serikali

Kaimu Kamishna wa mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania awaasa watumishi kuongeza juhudi katika kukusanya mapato ya Serikali

Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wanyamapori (TAWA) Bw.Mabula Misungwi Nyanda amefanya kikao na watumishi wanaosimamia eneo la mfumo ikolojia ya Ziwa Natron, Mto wa Mbu na Longido na kuwaagiza watumishi wa eneo hilo kufanya kazi kwa bidii na ushirikiano kwani eneo wanalosimamia ni eneo la kimkakati katika kukusanya mapato ya Serikali. …

Read More »