Tag Archives: Kahama

Wakulima 39 Wapatiwa Ruzuku Ya Pembejeo Za Kilimo Kahama.

Katika jitihada za kuhakikisha sekta ya kilimo inakua na wakulima wananufaika, Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga imetoa ruzuku ya pembejeo bure zenye thamani ya shilingi milioni 17.9 kwa wakulima vijana 39 ambao wanalima  mazao ya biashara. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji,Anderson Msumba wakati akisoma …

Read More »

Uandikishaji vitambulisho vya NIDA,yafikia asilimia 96,wilayani kahama.

Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imesema imefanikiwa kuandikisha vitambulisho vya taifa (NIDA) kwa asilimia 96 ya lengo lililokusudiwa kuandikishwa wilayani humo. Akizungumzia hatua hiyo katibu tawala Wilaya ya Kahama Thimos Ndanya amesema watu waliokusudiwa kuandikishwa vitambulisho vya taifa (NIDA) ni 326,760 ambapo mpaka sasa jumla ya wananchi 313,303 wameandikishwa ambao …

Read More »